Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Kilimo Hai - a podcast by RFI

from 2016-06-21T11:33:02

:: ::


Kilimo hai au organic farming ni aina ya kilimo ambacho huzigatia matumizi endelevu ya rasilimali za mazao ya kilimo pamoja na mifugo.

Kilimo hiki hutumia mara nyingi aina ya mbolea isiyotengenezwa viwandani, na ni aina ya kilimo ambacho huzingatia utunzaji wa mazingira.

Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako kesho jumaa hili inangazia juu ya Kilimo Hai na faida zake kwa Mazingira

Further episodes of Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Further podcasts by RFI

Website of RFI