Ukuzaji wa uyoga kwenye misitu nchini Kenya - a podcast by RFI

from 2021-12-14T17:35:39

:: ::


Tunaangazia namna Mamlaka inayotunza misitu nchini Kenya inavyozihusisha jamii katika kulinda na kuhifadhi misitu kupitia mradi wa maendeleo wa Green Zones awamu ya pili unaofadhiliwa na Benki ya maendeleo ya Afrika katika kaunti 15 kupitia mradi unaoruhusu ukulima wa miti na mimea kwa wakati mmoja (PELIS) .

Further episodes of Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Further podcasts by RFI

Website of RFI