IS ladhoofishwa Syria na Iraq - a podcast by RFI

from 2019-03-27T07:36:06

:: ::


Baada ya miezi ya mapigano, kikundi cha jihadi cha Kiislam (IS) kimepoteza Baghuz, kijiji cha mashariki mwa Siria ambacho kinaelezwa kuhitimisha utawala wa kihalifa nchini syria.Kama ambavyo mwishoni mwa 2017, IS ilivyopoteza ngome zake za Mosul nchini Iraq na Raqqa nchini Syria.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI