Podcasts by Mjadala wa Wiki

Mjadala wa Wiki

Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Nachrichten

All episodes

Mjadala wa Wiki
Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023 from 2021-09-29T08:31:27

Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge l...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Rais wa DRC Felix Tshisekedi athibitisha kuwa uchaguzi utafanyika mwaka 2023 from 2021-09-29T08:31:27

Rais wa DR Congo Felix Tshisekedi amewaambia viongozi wa dunia kuwa uchaguzi mkuu utafanyika nchini mwake mwaka 2023 kama ilivyopangwa kikatiba.Kauli hii pia imeungwa mkono na spika wa Bunge l...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Jito ka kisiasa kuelekea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi nchini Kenya from 2021-09-15T10:06:27

Makala haya mJadala wa wiki tunajadili siasa za Kenya kuelekea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa rais wa hapo mwakani.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022 from 2021-09-15T10:06:27

Makala haya mJadala wa wiki tunajadili siasa za Kenya kuelekea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa rais wa hapo mwakani.

Listen
Mjadala wa Wiki
Joto la kisiasa kuelekea uchaguzi nchini Kenya 2022 from 2021-09-15T10:06:27

Makala haya mJadala wa wiki tunajadili siasa za Kenya kuelekea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa rais wa hapo mwakani.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika from 2021-09-10T12:06:43

Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika from 2021-09-10T12:06:43

Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu from 2021-08-25T08:46:41

Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaona  hafurahishwi na ajenda ya serikali amb...

Listen
Mjadala wa Wiki
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu from 2021-08-25T08:46:41

Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaona  hafurahishwi na ajenda ya serikali amb...

Listen
Mjadala wa Wiki
Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde from 2021-08-12T11:39:23

Tunajadili siku 100 za serikali ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Sama Lukonde.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Siku 100 za Waziri Mkuu wa DRC Sama Lukonde from 2021-08-12T11:39:23

Tunajadili siku 100 za serikali ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Sama Lukonde.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu from 2021-07-15T10:13:21

Kenya inajiandaa kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Vyama vya siasa vimeanza maandalizi kujiweka tayari kwa uchaguzi huo. Lakini je, vyama hivi vimejiandaa  vya kutosha ? Tunajadili.

Listen
Mjadala wa Wiki
Siasa za vyama nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu from 2021-07-15T10:13:21

Kenya inajiandaa kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Vyama vya siasa vimeanza maandalizi kujiweka tayari kwa uchaguzi huo. Lakini je, vyama hivi vimejiandaa  vya kutosha ? Tunajadili.

Listen
Mjadala wa Wiki
Miaka minne ya rais wa Tanzania John Magufuli from 2019-11-06T09:36:17

Rais wa Tanzania John Magufuli, ametimiza miaka minne madarakani, je ni mafaniko gani na changamoto zipi zilizoshuhudiwa kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ?

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Miaka minne ya rais wa Tanzania John Magufuli from 2019-11-06T09:36:17

Rais wa Tanzania John Magufuli, ametimiza miaka minne madarakani, je ni mafaniko gani na changamoto zipi zilizoshuhudiwa kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ?

Listen
Mjadala wa Wiki
Hatima ya Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji from 2019-10-16T10:15:45

Wananchi wa Msumbiji, wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Ni uchaguzi ambao wachambuzi wa siasa wanasema ni kipimo cha demokrasia na utekelezwaji wa mkata...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Hatima ya Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji from 2019-10-16T10:15:45

Wananchi wa Msumbiji, wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu baada ya kupiga kura siku ya Jumanne. Ni uchaguzi ambao wachambuzi wa siasa wanasema ni kipimo cha demokrasia na utekelezwaji wa mkata...

Listen
Mjadala wa Wiki
Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi from 2019-09-25T08:34:49

Mabadiliko ya tabia nchi yamechangia kuyeyuka kwa theluji katika milima mbalimbali Duniani hatua inayoisukuma nchi ya Ufaransa kuja na mradi wa kufanya utafiti ili kuhifadhi barafu unaoitwa Ku...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi from 2019-09-25T08:34:49

Mabadiliko ya tabia nchi yamechangia kuyeyuka kwa theluji katika milima mbalimbali Duniani hatua inayoisukuma nchi ya Ufaransa kuja na mradi wa kufanya utafiti ili kuhifadhi barafu unaoitwa Ku...

Listen
Mjadala wa Wiki
Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano from 2019-09-18T12:24:30

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi,yupo ziarani nchini Ubelgiji. Ni ziara yake ya kwanza barani Ulaya, baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa DRC mapema mwaka...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Rais wa DRC Felix Tshisekedi azuru Ubelgiji kuimarisha uhusiano from 2019-09-18T12:24:30

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi,yupo ziarani nchini Ubelgiji. Ni ziara yake ya kwanza barani Ulaya, baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa DRC mapema mwaka...

Listen
Mjadala wa Wiki
Baraza huru laundwa nchini Sudan from 2019-08-21T12:27:52

Baraza huru kati ya viongozi wa kijeshi na kiraia limeundwa nchini Sudan, kuongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu, je, litatimiza mahitaji ya raia wa Sudan ? Tunajadili.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Baraza huru laundwa nchini Sudan from 2019-08-21T12:27:52

Baraza huru kati ya viongozi wa kijeshi na kiraia limeundwa nchini Sudan, kuongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu, je, litatimiza mahitaji ya raia wa Sudan ? Tunajadili.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda from 2019-08-07T08:43:23

Karibu katika makala ya mjadala wa wiki.Kikao cha 39 cha viongozi wa mataifa ya SADC kinataraji kuanza jijini Dar es salaam nchini Tanzania ajenda kuu ni kujadili mkakati wa kiuchumi kwa kuhim...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda from 2019-08-07T08:43:23

Karibu katika makala ya mjadala wa wiki.Kikao cha 39 cha viongozi wa mataifa ya SADC kinataraji kuanza jijini Dar es salaam nchini Tanzania ajenda kuu ni kujadili mkakati wa kiuchumi kwa kuhim...

Listen
Mjadala wa Wiki
Nani atamaliza Ebola nchini DRC ? from 2019-07-24T10:16:16

Wiki hii Waziri wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Oly Ilunga alitangaza kujiuzulu, baada ya kushtumu uamuzi wa rais Felix Tshekedi kumwondoa kwenye Kamati maalum ya kupambana na ...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Nani atamaliza Ebola nchini DRC ? from 2019-07-24T10:16:16

Wiki hii Waziri wa afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Oly Ilunga alitangaza kujiuzulu, baada ya kushtumu uamuzi wa rais Felix Tshekedi kumwondoa kwenye Kamati maalum ya kupambana na ...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mauaji nchini Ethiopia yanalenga kuharibu mipango ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed ? from 2019-06-26T11:54:21

Mnadhimu Mkuu wa jeshi  nchini Ethiopia Jenerali Seare Mekonnen ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake jijini Addis Ababa, sawa na rais wa jimbo la Amharic Ambachew Mekonen ambaye alishambu...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Mauaji nchini Ethiopia yanalenga kuharibu mipango ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed ? from 2019-06-26T11:54:21

Mnadhimu Mkuu wa jeshi  nchini Ethiopia Jenerali Seare Mekonnen ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake jijini Addis Ababa, sawa na rais wa jimbo la Amharic Ambachew Mekonen ambaye alishambu...

Listen
Mjadala wa Wiki
Machafuko nchini Sudan, maafa na majeruhi yaripotiwa from 2019-06-05T13:03:45

Wiki hii, uongozi wa kijeshi nchini Sudan, uliamua kuvunja kambi ya waandamanaji jijini Khartoum ambao wamekuwa wakishinikiza jeshi kukabidhi madaraka kwa raia.Watu zaidi ya 60 walipoteza mais...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Machafuko nchini Sudan, maafa na majeruhi yaripotiwa from 2019-06-05T13:03:45

Wiki hii, uongozi wa kijeshi nchini Sudan, uliamua kuvunja kambi ya waandamanaji jijini Khartoum ambao wamekuwa wakishinikiza jeshi kukabidhi madaraka kwa raia.Watu zaidi ya 60 walipoteza mais...

Listen
Mjadala wa Wiki
DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano from 2019-05-23T08:24:44

Hatimaye rais wa DRC Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga kuwa Waziri Mkuu. Hii inakuja baada ya mashauriano ya muda mrefu kati ya rais huyo na mwenzake wa zamani Joseph Kabila. Mataraji...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano from 2019-05-23T08:24:44

Hatimaye rais wa DRC Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga kuwa Waziri Mkuu. Hii inakuja baada ya mashauriano ya muda mrefu kati ya rais huyo na mwenzake wa zamani Joseph Kabila. Mataraji...

Listen
Mjadala wa Wiki
Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi from 2019-05-02T09:33:58

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu, anataka maandamano yafanyike nchini humo kumshinikiza rais Felix Thisekedi aondoke madarakani kama ilivyokuwa nchini Sudan na Algeria.

F...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi from 2019-05-02T09:33:58

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu, anataka maandamano yafanyike nchini humo kumshinikiza rais Felix Thisekedi aondoke madarakani kama ilivyokuwa nchini Sudan na Algeria.

F...

Listen
Mjadala wa Wiki
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu from 2019-04-03T10:37:49

Baada ya kuwa madarakani kwa miaka 20 hatimaye Abdulaziz Bouteflika amelazimika kusalimu amri na kujiuzulu kama rais wa nchi wa Algeria.

Nini hatima ya nchi ya Algeria baada ya kujiuz...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika ajiuzulu from 2019-04-03T10:37:49

Baada ya kuwa madarakani kwa miaka 20 hatimaye Abdulaziz Bouteflika amelazimika kusalimu amri na kujiuzulu kama rais wa nchi wa Algeria.

Nini hatima ya nchi ya Algeria baada ya kujiuz...

Listen
Mjadala wa Wiki
IS ladhoofishwa Syria na Iraq from 2019-03-27T07:36:06

Baada ya miezi ya mapigano, kikundi cha jihadi cha Kiislam (IS) kimepoteza Baghuz, kijiji cha mashariki mwa Siria ambacho kinaelezwa kuhitimisha utawala wa kihalifa nchini syria.Kama ambavyo m...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - IS ladhoofishwa Syria na Iraq from 2019-03-27T07:36:06

Baada ya miezi ya mapigano, kikundi cha jihadi cha Kiislam (IS) kimepoteza Baghuz, kijiji cha mashariki mwa Siria ambacho kinaelezwa kuhitimisha utawala wa kihalifa nchini syria.Kama ambavyo m...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia neno from 2019-03-13T10:32:37

Makala ya mjadala inaangazia mvutano wa kidiplomasi akati yamataifa mawili ya Afrika mashariki,Uganda na Rwanda wakati huu jumuiya ya Afrika mashariki ikiwa  kimya..wachambuzi Abbas Mwalimu na...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Mvutano kati ya Rwanda na Uganda Marekani yatia neno from 2019-03-13T10:32:37

Makala ya mjadala inaangazia mvutano wa kidiplomasi akati yamataifa mawili ya Afrika mashariki,Uganda na Rwanda wakati huu jumuiya ya Afrika mashariki ikiwa  kimya..wachambuzi Abbas Mwalimu na...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa Katuna from 2019-03-06T13:02:26

Nchi za Rwanda na Uganda zinashuhudia mvutano wa kidiplomasia. Rwanda inaishutumu Uganda kwa kuwaficha maadui wa serikali yake, suala ambalo Uganda inakanusha vikali.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa Katuna from 2019-03-06T13:02:26

Nchi za Rwanda na Uganda zinashuhudia mvutano wa kidiplomasia. Rwanda inaishutumu Uganda kwa kuwaficha maadui wa serikali yake, suala ambalo Uganda inakanusha vikali.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguzi from 2019-01-31T16:48:25

Baada ya tume ya uchaguzi nchini DRC CENI kumtangaza mshindi wa kiti cha uraisi mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi,tunaangazia nini matarajio ya raia sasa,nini mustakabali wa DRC wakati huu ...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguzi from 2019-01-31T16:48:25

Baada ya tume ya uchaguzi nchini DRC CENI kumtangaza mshindi wa kiti cha uraisi mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi,tunaangazia nini matarajio ya raia sasa,nini mustakabali wa DRC wakati huu ...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mzozo wa kisiasa nchini Venezuela from 2019-01-30T09:08:16

Venezuela imejikuta katika mzozo wa kisiasa na kiuchumi, kiongozi wa upinzani  Juan Guaido amejiapisha kuwa rais, huku kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro akitishia kumchukulia hatua kali. Tu...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Mzozo wa kisiasa nchini Venezuela from 2019-01-30T09:08:16

Venezuela imejikuta katika mzozo wa kisiasa na kiuchumi, kiongozi wa upinzani  Juan Guaido amejiapisha kuwa rais, huku kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro akitishia kumchukulia hatua kali. Tu...

Listen
Mjadala wa Wiki
Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu from 2019-01-09T11:06:05

Mamilioni ya raia wa DRC, pamoja na dunia, inasubiri Tume ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa Uchaguzi wa urais, baada ya wananchi kupiga kura Desemba 30 2018. Nani atashinda Uchaguzi huu na ni ...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu from 2019-01-09T11:06:05

Mamilioni ya raia wa DRC, pamoja na dunia, inasubiri Tume ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa Uchaguzi wa urais, baada ya wananchi kupiga kura Desemba 30 2018. Nani atashinda Uchaguzi huu na ni ...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Raia wa DRC waendelea kusubiri matokeo,mtandao wazimwa from 2019-01-02T10:14:35

Makala ya mjadala wa wiki inaangazia hali ya mambo nchini DRC wakati huu raia wakisubiri matokeo ya kura ya uraisi wabunge na viongozi wa wilaya kote nchini humo kunashuhudiwa mtandao ukizimwa...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - DRC ipo tayari kwa Uchaguzi wa Desemba 30, 2018 ? from 2018-12-26T11:03:42

Wananchi wa DRC, wanatarajiwa kupiga kura siku ya Jumapili kumchagua rais mpya na viongozi wengine, baada ya zoezi hilo kuahirishwa kwa wiki moja baada ya kuteketea kwa jengo la kuhifadhi vifa...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Wananchi wa DRC kupiga kura siku ya Jumapili from 2018-12-19T09:45:43

Wananchi wa DRC watapiga kura siku ya Jumapili, kumchagua rais mpya. Kampeni zinamalizika wiki hii kuelekea Uchaguzi huo wa kihistoria.

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Marekani: Democratics washinda bunge la wawakilishi, Republican watawala Senate from 2018-11-07T07:41:42

Chama cha Republican cha rais Donald Trump, kimepata ushindi katika bunge la Senate huku kile cha Denocratic, kikirejesha udhibiti wa bunge la wawakilishi, baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Wabu...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Rais Paul Biya achaguliwa tena kuongoza Cameroon kwa muhula wa saba from 2018-10-24T12:36:40

Rais wa Cameroon Paul Biya, ametangazwa mshindi kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa saba, kuendeleza uongozi wake wa miaka 36. Upinzani umekataa kutambua ushindi huu. Ushindi huu una maana gani k...

Listen
Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Siasa za mashine za kupigia kura nchini DRC from 2018-10-10T11:54:03

Kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, bado kuna mvutano wa matumizi ya mashine za kupigia kura. Wanasiasa wa upinzani na mashirika ya kiraia yanataka zisitumiwe kwa hofu ya wizi wa kura, lakini T...

Listen