Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu ataka maandamano dhidi ya rais Tshisekedi - a podcast by RFI

from 2019-05-02T09:33:58

:: ::


Kiongozi wa upinzani nchini DRC Martin Fayulu, anataka maandamano yafanyike nchini humo kumshinikiza rais Felix Thisekedi aondoke madarakani kama ilivyokuwa nchini Sudan na Algeria.

Fayulu anasema yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2018.

Tunachambua hili kwa kina.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI