Machafuko nchini Sudan, maafa na majeruhi yaripotiwa - a podcast by RFI

from 2019-06-05T13:03:45

:: ::


Wiki hii, uongozi wa kijeshi nchini Sudan, uliamua kuvunja kambi ya waandamanaji jijini Khartoum ambao wamekuwa wakishinikiza jeshi kukabidhi madaraka kwa raia.Watu zaidi ya 60 walipoteza maisha na mamia kujeruhiwa. Nini hatima ya Sudan ? Tunajadili.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI