Mapinduzi nchini Guinea na hali ya kisiasa kwa watawala barani Afrika - a podcast by RFI

from 2021-09-10T12:06:43

:: ::


Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Guinea na nini sababu za kutokea mapinduzi ya serikali barani Afrika. Swala ni kwa nini imejengeka dhana kwamba kiongozi anayeng'ang'ania madaraka mwisho wake siku zote ni mapinduzi ya kijeshi, nini kifanyike ili ifike mahali demokrasia na watawala waheshimu katiba za nchi zao?

Mjadala wa wiki na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka 

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI