Mjadala wa Wiki - DRC yampata Waziri Mkuu baada ya kusubiri miezi mitano - a podcast by RFI

from 2019-05-23T08:24:44

:: ::


Hatimaye rais wa DRC Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga kuwa Waziri Mkuu. Hii inakuja baada ya mashauriano ya muda mrefu kati ya rais huyo na mwenzake wa zamani Joseph Kabila. Matarajio ya raia wa DRC ni nini ?

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI