Mjadala wa Wiki - Dunia kuangazia mabadiliko ya tabia nchi - a podcast by RFI

from 2019-09-25T08:34:49

:: ::


Mabadiliko ya tabia nchi yamechangia kuyeyuka kwa theluji katika milima mbalimbali Duniani hatua inayoisukuma nchi ya Ufaransa kuja na mradi wa kufanya utafiti ili kuhifadhi barafu unaoitwa Kumbukumbu ya Barafu iliyopo katika Mlima mrefu barani Afrika wa Kilimanjaro.

Hayo yanajiri wakati huu dunia ikiangazia namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI