Mjadala wa Wiki - Mauaji nchini Ethiopia yanalenga kuharibu mipango ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed ? - a podcast by RFI

from 2019-06-26T11:54:21

:: ::


Mnadhimu Mkuu wa jeshi  nchini Ethiopia Jenerali Seare Mekonnen ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake jijini Addis Ababa, sawa na rais wa jimbo la Amharic Ambachew Mekonen ambaye alishambuliwa na watu wenye silaha. Ni mauaji yanayokuja wakati huu, Waziri Mkuu Abiy Ahmed akiendeleza mageuzi nchini mwake.

 

 

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI