Mjadala wa Wiki - Mustakabali wa DRC baada ya matokeo ya uchaguzi - a podcast by RFI
from 2019-01-31T16:48:25
::
::
Baada ya tume ya uchaguzi nchini DRC CENI kumtangaza mshindi wa kiti cha uraisi mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi,tunaangazia nini matarajio ya raia sasa,nini mustakabali wa DRC wakati huu upinzani wa lamuka ukipinga matokeo hayo kwa kudai udanganyifu ulifanyika.
Further episodes of Mjadala wa Wiki
Further podcasts by RFI
Website of RFI