Mjadala wa Wiki - Mzozo kati ya Rwanda na Uganda kuhusu mpaka wa Katuna - a podcast by RFI

from 2019-03-06T13:02:26

:: ::


Nchi za Rwanda na Uganda zinashuhudia mvutano wa kidiplomasia. Rwanda inaishutumu Uganda kwa kuwaficha maadui wa serikali yake, suala ambalo Uganda inakanusha vikali.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI