Mjadala wa Wiki - Mzozo wa kisiasa nchini Venezuela - a podcast by RFI

from 2019-01-30T09:08:16

:: ::


Venezuela imejikuta katika mzozo wa kisiasa na kiuchumi, kiongozi wa upinzani  Juan Guaido amejiapisha kuwa rais, huku kiongozi wa nchi hiyo Nicolas Maduro akitishia kumchukulia hatua kali. Tunajadili hili kwa kina.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI