Mjadala wa Wiki - Raia wa DRC waendelea kusubiri matokeo,mtandao wazimwa - a podcast by RFI

from 2019-01-02T10:14:35

:: ::


Makala ya mjadala wa wiki inaangazia hali ya mambo nchini DRC wakati huu raia wakisubiri matokeo ya kura ya uraisi wabunge na viongozi wa wilaya kote nchini humo kunashuhudiwa mtandao ukizimwa kwa sababu kiusalama kama ambavyo serikali imeeleza...karibu,wazungumzaji ni Cyllile Muhongya na Jaribu muliwavyo wote wakiwa Mashariki mwa DRC.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI