Mjadala wa Wiki - Rais Paul Biya achaguliwa tena kuongoza Cameroon kwa muhula wa saba - a podcast by RFI

from 2018-10-24T12:36:40

:: ::


Rais wa Cameroon Paul Biya, ametangazwa mshindi kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa saba, kuendeleza uongozi wake wa miaka 36. Upinzani umekataa kutambua ushindi huu. Ushindi huu una maana gani kwa demokrasia ya Cameroon na bara la Afrika ? Tunajadili.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI