Mjadala wa Wiki - Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amtaka naibu wake ajiuzulu - a podcast by RFI

from 2021-08-25T08:46:41

:: ::


Kwenye Mjadala wa wiki, tunaangazia hali ya kisiasa nchini Kenya. Wiki hii, rais Uhuru Kenyatta amemwambia naibu wake William Ruto ajiuzulu iwapo anaona  hafurahishwi na ajenda ya serikali ambayo yeye ni mdau mkubwa.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI