Mjadala wa Wiki - Siasa za mashine za kupigia kura nchini DRC - a podcast by RFI

from 2018-10-10T11:54:03

:: ::


Kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, bado kuna mvutano wa matumizi ya mashine za kupigia kura. Wanasiasa wa upinzani na mashirika ya kiraia yanataka zisitumiwe kwa hofu ya wizi wa kura, lakini Tume ya Uchaguzi CENI, inasisitiza kuwa ni sharti zitumiwe. Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wametoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo ili mwafaka kupatikana. Tunajadili hili kwa kina.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI