Mjadala wa Wiki - Wananchi wa DRC bado wanasubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu - a podcast by RFI

from 2019-01-09T11:06:05

:: ::


Mamilioni ya raia wa DRC, pamoja na dunia, inasubiri Tume ya Uchaguzi kumtangaza mshindi wa Uchaguzi wa urais, baada ya wananchi kupiga kura Desemba 30 2018. Nani atashinda Uchaguzi huu na ni kwanini matokeo yamechelewa ? Tunachambua suala hili kwa kina.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI