Mkutano wa 39 SADC kuangazia uchumi wa viwanda - a podcast by RFI

from 2019-08-07T08:43:23

:: ::


Karibu katika makala ya mjadala wa wiki.Kikao cha 39 cha viongozi wa mataifa ya SADC kinataraji kuanza jijini Dar es salaam nchini Tanzania ajenda kuu ni kujadili mkakati wa kiuchumi kwa kuhimiza viwanda katika mataifa hayo.Fuatilia kwa kina,wachambuzi Wetengere Kitojo na Saidi Msonga wameangazia kinaga ubaga katika makala haya na mwandishi wetu Martha Saranga.

Further episodes of Mjadala wa Wiki

Further podcasts by RFI

Website of RFI