Muziki Ijumaa - Aya Nakamura mwanamuzi wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal - a podcast by RFI

from 2017-10-05T13:15:04

:: ::


Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anamleta kwako Aya Nakamura mwanamuziki raia wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal ambae ametowa album yake ya kwanza na kufanya vizuri.

Further episodes of Muziki Ijumaa

Further podcasts by RFI

Website of RFI