Podcasts by Muziki Ijumaa

Muziki Ijumaa

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Musik

All episodes

Muziki Ijumaa
Unapenda kuskiza muziki upi ndani ya Muziki Ijumaa from 2021-11-23T09:18:01

Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Unapenda kuskiza muziki upi ndani ya Muziki Ijumaa from 2021-11-23T09:18:01

Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.

Listen
Muziki Ijumaa
Tambua vibao motomoto ndani ya makala haya from 2021-11-23T09:00:13

Kila ijumaa ni nafasi yako kuchagua kibao unachopenda ndani ya Muziki Ijuamaa

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Tambua vibao motomoto ndani ya makala haya from 2021-11-23T09:00:13

Kila ijumaa ni nafasi yako kuchagua kibao unachopenda ndani ya Muziki Ijuamaa

Listen
Muziki Ijumaa
Ombi lako Ijumaa hii kwenye uwanja wa Muziki from 2021-10-02T16:06:22

Kila Ijumaa ni Makala ya Muziki Ijumaa. Unapenda tukuchezee kibao gani ? Unaweza pia kuomba kwa kututumia sauti kwenye namba yetu ya WhatsApp +254 707 888 555. Taja jina lako, unapatikana wapi...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Ombi lako Ijumaa hii kwenye uwanja wa Muziki from 2021-10-02T16:06:22

Kila Ijumaa ni Makala ya Muziki Ijumaa. Unapenda tukuchezee kibao gani ? Unaweza pia kuomba kwa kututumia sauti kwenye namba yetu ya WhatsApp +254 707 888 555. Taja jina lako, unapatikana wapi...

Listen
Muziki Ijumaa
Chaguo lako la Muziki na Ali Bilali from 2021-09-15T10:11:47

Makala yako ya chaguo la Muziki Ijumaa hii uko naye Ali Bilali ambae anakuletea Burudani ya dakika 10.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Chaguo lako la Muziki na Ali Bilali from 2021-09-15T10:11:47

Makala yako ya chaguo la Muziki Ijumaa hii uko naye Ali Bilali ambae anakuletea Burudani ya dakika 10.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia from 2021-09-10T17:20:46

Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia from 2021-09-10T17:20:46

Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni...

Listen
Muziki Ijumaa
Chaguo lako la muziki wiki hii from 2021-08-13T12:21:32

Wiki hii tulikupa nafasi ya kuchagua muziki uliopenda kutuchezee kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, sikiliza chaguo lako.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Chaguo lako la muziki wiki hii from 2021-08-13T12:21:32

Wiki hii tulikupa nafasi ya kuchagua muziki uliopenda kutuchezee kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, sikiliza chaguo lako.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki kama ulivyoomba wewe msikilizaji ijumaa ya mwisho wa mwezi Julai. from 2021-08-02T18:22:37

Leo tumekuletea burudani tukiangazia kazi za wanamuziki  Fally Ipupa, Bahati akitokea Kenya, SAT-B akitokea Burundi na Ali Kiba miongoni mwa wasanii wengine ambao utawasikia kwenye  Makala hay...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Muziki kama ulivyoomba wewe msikilizaji ijumaa ya mwisho wa mwezi Julai. from 2021-08-02T18:22:37

Leo tumekuletea burudani tukiangazia kazi za wanamuziki  Fally Ipupa, Bahati akitokea Kenya, SAT-B akitokea Burundi na Ali Kiba miongoni mwa wasanii wengine ambao utawasikia kwenye  Makala hay...

Listen
Muziki Ijumaa
Burudani ya muziki: Chaguo la msikilizaji from 2021-06-30T11:24:32

Kila Ijumaa, kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, yanakupa nafasi ya kuchagua wimbo unaoupenda, tutakuchezea na utaburudika hapo ulipo.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Burudani ya muziki: Chaguo la msikilizaji from 2021-06-30T11:24:32

Kila Ijumaa, kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, yanakupa nafasi ya kuchagua wimbo unaoupenda, tutakuchezea na utaburudika hapo ulipo.

Listen
Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki kutoka chaguo la wasikilizaji na Ali Blali from 2021-06-29T12:18:51

Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amekukusanyia chaguo la muziki kutoka kwa waskilizaji wa RFI Kiswahili. Burudika nasi usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @bill...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Burudani ya Muziki kutoka chaguo la wasikilizaji na Ali Blali from 2021-06-29T12:18:51

Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amekukusanyia chaguo la muziki kutoka kwa waskilizaji wa RFI Kiswahili. Burudika nasi usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @bill...

Listen
Muziki Ijumaa
Skiza muziki moto moto katika makala haya from 2021-06-11T18:10:27

Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, hapa Caro Korr, anavicheza vibao ulivyochagua wewe.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Skiza muziki moto moto katika makala haya from 2021-06-11T18:10:27

Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, hapa Caro Korr, anavicheza vibao ulivyochagua wewe.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki uliochagua juma hili katika makala haya from 2021-06-04T17:30:08

Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, skiza maka ya juma hili.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Muziki uliochagua juma hili katika makala haya from 2021-06-04T17:30:08

Kila ijumaa muskilizaji una nafasi ya kuomba wimbo unaopenda wewe, skiza maka ya juma hili.

Listen
Muziki Ijumaa
Burudani ya muziki Ijumaa hii from 2021-05-28T08:54:07

Mtangazaji wako wa Makala ya Muziki Ijumaa, leo hii ni Ruben Lukumbuka, amekuandalia burudani tosha.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Burudani ya muziki Ijumaa hii from 2021-05-28T08:54:07

Mtangazaji wako wa Makala ya Muziki Ijumaa, leo hii ni Ruben Lukumbuka, amekuandalia burudani tosha.

Listen
Muziki Ijumaa
Chaguo lako la muziki from 2021-05-22T17:22:41

Tunakupâ nafasi ya kusikiliza muziki unaoupenda. Karibu sana

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Miaka 40 tangu kifo cha Bob Marley from 2021-05-14T15:20:52

Makala ya Muziki Ijumaa, wiki hii inakuletea kipindi maalumu kuhusu miaka 40 ya mfalme wa Rege, hayati Robert Nesta Marley ''Bob Marley".

Listen
Muziki Ijumaa
Miaka 40 tangu kifo cha Bob Marley from 2021-05-14T15:20:52

Makala ya Muziki Ijumaa, wiki hii inakuletea kipindi maalumu kuhusu miaka 40 ya mfalme wa Rege, hayati Robert Nesta Marley ''Bob Marley".

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Chaguo lako la Muziki from 2021-05-08T12:47:02

Makala ya Muziki Ijumaa, yanakupa nafasi ya kuchagua muziki wowote unaoupenda, na utausikia. Karibu sana.

Listen
Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki kutoka maeneo mbalimbali na Ali Bilali from 2021-04-12T14:16:41

Juma hili Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki kutoka katika maeneo mbalimbali ya dunia, baada ya juma zima la kazi sasa burudika namna hiyo.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Burudani ya Muziki kutoka maeneo mbalimbali na Ali Bilali from 2021-04-12T14:16:41

Juma hili Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki kutoka katika maeneo mbalimbali ya dunia, baada ya juma zima la kazi sasa burudika namna hiyo.

Listen
Muziki Ijumaa
MC Hammer Rapper aliesumbua sana vijana miaka 1990 from 2021-04-12T14:05:19

Katika Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea mwanamuziki wa Hip Hop aliewahi kutamba sana miaka hiyo kutokana na style yake ya Muziki na mavazi, kabla ya kujikita zaidi katika biash...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - MC Hammer Rapper aliesumbua sana vijana miaka 1990 from 2021-04-12T14:05:19

Katika Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea mwanamuziki wa Hip Hop aliewahi kutamba sana miaka hiyo kutokana na style yake ya Muziki na mavazi, kabla ya kujikita zaidi katika biash...

Listen
Muziki Ijumaa
Nguli wa Muziki wa Live Afrika Mashariki Kidum Kibidon ndani ya studio za RFI from 2021-03-19T16:50:10

Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Live Afrika mashariki Jean Pierre Nimbona maharufu Kidum Kibidon ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya kuzungumzia mambo ya muziki kwa ...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Nguli wa Muziki wa Live Afrika Mashariki Kidum Kibidon ndani ya studio za RFI from 2021-03-19T16:50:10

Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Live Afrika mashariki Jean Pierre Nimbona maharufu Kidum Kibidon ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya kuzungumzia mambo ya muziki kwa ...

Listen
Muziki Ijumaa
Mfahamu Aga Rapper mwanamuziki rapper wa kike kutoka mjini Morogoro nchini Tanzania from 2021-03-18T17:25:13

Juma hili katika Makala Muziki Ijumaa Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki wa kike wa miondoko ya Hip Hop kutoka Mkoani Morogoro nchini Tanzania ambae kazi zake zinafanya vizuri nchini humo.<...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Mfahamu Aga Rapper mwanamuziki rapper wa kike kutoka mjini Morogoro nchini Tanzania from 2021-03-18T17:25:13

Juma hili katika Makala Muziki Ijumaa Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki wa kike wa miondoko ya Hip Hop kutoka Mkoani Morogoro nchini Tanzania ambae kazi zake zinafanya vizuri nchini humo.<...

Listen
Muziki Ijumaa
Maitre Gilma chipukizi kutoka Kamanyola na harakati zake za muziki from 2021-03-09T13:34:56

Makala haya Muziki Ijumaa juma hili Ali Bilali anazungumza na Maitre Gilma msanii chipukizi kutoka Kamanyola wilaya ya Uvira Kivu Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Maitre Gilma chipukizi kutoka Kamanyola na harakati zake za muziki from 2021-03-09T13:34:56

Makala haya Muziki Ijumaa juma hili Ali Bilali anazungumza na Maitre Gilma msanii chipukizi kutoka Kamanyola wilaya ya Uvira Kivu Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Listen
Muziki Ijumaa
Mico The Best Msanii kutoka nchini Rwanda anaetamba Afrika mashariki na kati from 2021-03-09T13:11:40

Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na msanii kutoka nchini Rwanda aliejizolea umaharufu mkubwa kupitia nyimbo zake kama vile Igare, Umunamba, jamais na nyinginezo, anazungumza ha...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Mico The Best Msanii kutoka nchini Rwanda anaetamba Afrika mashariki na kati from 2021-03-09T13:11:40

Juma hili mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na msanii kutoka nchini Rwanda aliejizolea umaharufu mkubwa kupitia nyimbo zake kama vile Igare, Umunamba, jamais na nyinginezo, anazungumza ha...

Listen
Muziki Ijumaa
Burudani maaluum ya nyimbo za kifaransa wakati rfikiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie from 2021-03-08T15:22:02

Wakati RFIKiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amekuletea nyimbo mbalimbali za wanamuziki waliozoimba kwa Kifaransa na maelezo yake mafupi kuhusu nyimbo ...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Burudani maaluum ya nyimbo za kifaransa wakati rfikiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie from 2021-03-08T15:22:02

Wakati RFIKiswahili ikiadhimisha mwezi wa la Francophonie, mtangazaji wako Ali Bilali amekuletea nyimbo mbalimbali za wanamuziki waliozoimba kwa Kifaransa na maelezo yake mafupi kuhusu nyimbo ...

Listen
Muziki Ijumaa
Msanii wa Kundi la Lafrik ndani ya Studio za RFI Kiswahili from 2021-02-04T16:53:47

Juma hili Ali Bilali amempokea Studio Ali Suleiman mwanamuziki kutoka kunid la Lafrik kuzungumza mengi kuhusu muziki na changamoto za sasa zinazosababishwa na maambukizi ya Virusi vya Corona.<...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Msanii wa Kundi la Lafrik ndani ya Studio za RFI Kiswahili from 2021-02-04T16:53:47

Juma hili Ali Bilali amempokea Studio Ali Suleiman mwanamuziki kutoka kunid la Lafrik kuzungumza mengi kuhusu muziki na changamoto za sasa zinazosababishwa na maambukizi ya Virusi vya Corona.<...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - JHikoman ndani ya studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi from 2021-01-15T08:32:48

Mwanamuziki wa miondoko ya Rege kutoka nchini Tanzania, Jhikoman amezuru studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya na kuzungumzia kuhusu ujio wa wimbo wake mpya. Usikosi kutufollow k...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Nyimbo za kuhamasisha Corona from 2021-01-09T18:04

Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anakuletea Burudani ya nyimbo zinazo hamasisha kuhusu virusi vya Corona. usikosi pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @Billy_bilali

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Wanamuziki wa Kundi la Daara J Family na Harakati zao from 2019-09-27T07:38:21

Historia ya Moja moja miongoni mwa makundi ya miondoko ya Hip Hop nchini Senegal Daara J Family.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Gwiji wa Muziki wa Reggae, Phillip Dube ataendelea kukumbwa Barani Afrika from 2019-02-26T15:39:13

Utotoni mwake Lucky Phillip Dube alilelewa sana na bibi yake kutokana na mama yake kufanya kazi nje ya mahali ambapo wanaishiili aweze kumudu maisha, Katika maisha yake Lucky Dube hakuwahi kum...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Brenda Faasie aliufanya Muziki wa Afrika Kuheshimika from 2018-11-09T11:43:25

Brenda Nokuzola Fassie , alizaliwa Novemba 3, 1964 huko Langa Cape Town nchini Afrika Kusini, akiwa mtoto wa mwisho wa familia yenye watoto 8,amefanya Muziki kwa kiwango cha juu Barani Afrika ...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Pierrette Adams nyota isiozima from 2018-10-12T13:58:35

Juma hili Ali Bilali anakuletea mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Congo Brazaville ambae sehelu kubwa ya Muziki wake ameufanyia nchini Cote d'ivoire Pierrette Adams ambae nyota yake imeendelea...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Maombolezo ya kifo cha mwanamuziki Charles Aznavour from 2018-10-12T13:49:44

wananchi wa Ufaransa wanaomboleza kifo cha mwanamuziki Mkongwe Charles Aznavour aliefariki hivi majuzi akiwa bafuni. Charles Aznavour ambae alikuwa tayari na umti wa miaka 84 anafanyiwa mazish...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Mwanamuziki France Gall afariki dunia from 2018-02-14T13:54:55

Makala haya Muziki Ijumaa Ali Bilali anamzungumzia mwanamuziki wa Ufaransa France Gall aliefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 kutokana na maradhi ya saratani. Sikiliza Makala haya ili kufa...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Charly na Nina wanamuzuki wa Kike nchini Rwanda wanaopata mafaanikio makubwa from 2018-02-14T13:09:41

Juma hili, Ali Bilali anakupeleka nchini Rwanda ambako anawazungumzia wanamuziki wawili wa Kike Charly na Nina ambao wameendelea kufanya vizuri kila uchao kiasi cha kualikwa huku na kule dunia...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ng'ang'ana from 2018-02-14T12:38:12

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby aridhishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya Ng'ang'ana unaofanya vizuri kwa sasa. Wiki hii amekuwa mgeni katika makala ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Mlimbwende aliehamia kwenye muziki Genevieve ndani ya Studio za RFI Kiswahili. from 2018-02-14T12:26:13

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kwa mara nyingine tena amekuja kutambulisha wimbo wake mpya ambao unafanya vizuri "Hoi" wimbo ambao unahesabiwa kuwa ni wa 4 tangu pale alipojikita katika muziki. Si...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - G-Bo Gibanga mwanamuziki kutoka Burundi azindua album yake ya 4G from 2017-12-21T11:53:48

G-Bo Gibanga ni miongoni mwa wanamuziuki jipukizi nchini Burundi ambae amepata mafaanikio makubwa baada ya kutoa niymbo zake kadha ambazo zilipokelewa vizuri na hatimae juma hili amezindua alb...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Tamasha la Fiesta latamatika jijini Dar Es Salaam from 2017-12-21T10:23:24

Novemba 25 ilikuwa kilele cha tamasha la Fiesta 2017, baada ya kufanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, hatimae ilikuw ani zamu ya Dar es salaam. Msimu huu ni wanamuziki pekee kutoka nch...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Wapenzi wa Muziki wa Rock wamlilia Johnny Hallyday from 2017-12-21T09:54:58

Ulimwengu wa Muziki wa Rock and Roll wamlilia mwanamuziki wa miondoko hiyo kutoka Ufaransa Johnny Hallyday ambae alifariki usiku wa Desemba 5 kuamkia Desemba 6. Kufahamu zaidi kuhusu mwanamuzi...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake from 2017-11-17T09:11:03

Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje y...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Samata A na harakati mpya za Muziki from 2017-11-10T14:35:34

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Samata A, kwa mara nyingine tena, ametembelea studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya wimbo Tufyu, lakini pia audio ya wimbo wake...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Jux akiri wimbo utaniuwa kamuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha from 2017-10-05T15:04:04

Makala Muziki Ijumaa juma hili, Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Jux ambae ametambulisha wimbo wake mpya "Utaniuwa" ambao amekiri kumuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha. amb...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Wafahamu Amadou na Mariam wanamuziki wenye ulemavu wa kuona mke na Mume from 2017-10-05T13:26:29

Makala haya Muziki Ijumaa hii leo inakuletea Historia ya wanamuziki wawili mke na mume ambao ni walemavu wa kuona, lakini wamekuwa maharafu sana katika mataifa mbalimbali duniani. Ambatana nay...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Aya Nakamura mwanamuzi wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal from 2017-10-05T13:15:04

Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anamleta kwako Aya Nakamura mwanamuziki raia wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal ambae ametowa album yake ya kwanza na kufanya vizuri.

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Johnny Clegg kustaafu Muziki from 2017-10-03T12:19:11

Mwanamuziki Mkongwe wsa muziki ya Kizulu nchini Afrika Kusini mwenye asili ya Uingereza Johnny Cleg anaelekea kustaafu muziki na sasa ameanza mzunguuko wa tamasha katika mataifa mbalimbali, am...

Listen
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - AdjobaLove na harakati zake za Muziki wa Reggue from 2017-08-09T19:12:31

Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anazungumza na AdjobaLove, mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Reggue raia wa Burundi ambae anaeshi uhamishoni nchini Rwanda, usikosi pia kumfollow ntag...

Listen