Muziki Ijumaa - Mfahamu Aga Rapper mwanamuziki rapper wa kike kutoka mjini Morogoro nchini Tanzania - a podcast by RFI

from 2021-03-18T17:25:13

:: ::


Juma hili katika Makala Muziki Ijumaa Ali Bilali amezungumza na mwanamuziki wa kike wa miondoko ya Hip Hop kutoka Mkoani Morogoro nchini Tanzania ambae kazi zake zinafanya vizuri nchini humo.

Further episodes of Muziki Ijumaa

Further podcasts by RFI

Website of RFI