Muziki Ijumaa - Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake - a podcast by RFI

from 2017-11-17T09:11:03

:: ::


Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa Instagam kwa kugonga hapa @billy_Bilali

Further episodes of Muziki Ijumaa

Further podcasts by RFI

Website of RFI