E.P AS SHORT ALBUM ( EXTENDED PLAY) - a podcast by martine

from 2021-04-07T11:00:22

:: ::

karibu kusikiliza episode hii mpya ambayo nmu podcast tumekuandalia, Kwenye episode hii tumezungumzia, maana ya E.P kwa undani zaidi, Pia tumeenda mbali na kuonesha E.p inatakiwa kuwa na Miziki Mingapi na inatakiwa kuwa na dakika ngapi, Pia tumegusia jinsi ambavyo Platform mbalimbali za dunia uchukulia E.P pale msanii Anpoachia E.p.




Achilia mbali maan alisi ya E.P Tumeongela faida ambazo msanii anapata pale akiachia kazi zake katika mfumo wa E.P, Pia tumegusia Jinsi E.p Inavyofanya vizuri katika mahuzo ukilinganisha na album yenyewe, Swala la muda katika kuandaa E.P limeongelea kama sehemu ya faida pia swala la kupata content nyingi pale unapoachia E.p limeguswa kwa njia ya pekee.




kwa mengi ambayo ungependa kuyafahamu tegea sikio hii episode yetu ambayo tumekuandalia msikilizaji wetu, karibu.



---

Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message

Further episodes of NMU PODCAST

Further podcasts by martine

Website of martine