KWANI NI LAZIMA KUJIBU KILA SWALI KWENYE INTERVIEW?? - a podcast by martine

from 2021-06-17T10:22:42

:: ::

   Katika pita pita Zetu kwenye mitandao ya kijamii Tumekutana na mjadara mzito kwenye moja ya page , ikiweza kusemea msanii ibraah kutoka konde gang, kuwa sio lazima saana kujibu kila maswali ambayo maybe anakuwa akihulizwa na waandishi au broga mbali mbali ,


Ishu imekuwa kwanza kijana amekuwa very flexible na ananyoosha saana mahelezo kwenye kujibu, na uzuri au ubaya hata akihulizwa maswali ambayo yanalenga upande wa pili ambapo kuna ushindani wake wa mziki yeye unyoosha either kwa kusifia au kwa kutolea ufafanuzi


Kupitia ilo tukaona je hii imekaaje kwenye ishu nzima ya msanii kama brand na kama bidhaa, je inamwalibia au, inamtengenezea njia nzuri ya kueleweka kwa mashabiki,


Hapa tunakupa faida na vijihasara ambavyo msanii anaweza kuvipata kupitia kujibu kila maswali kwenye interview.



---

Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message

Further episodes of NMU PODCAST

Further podcasts by martine

Website of martine