MEET MOLLY PASSION (ARTIST) WITH HIS TRUMPET , TALKING ABOUT MUSIC EXPERIENCE session 2 - a podcast by martine

from 2020-08-18T15:00

:: ::

Karibu kwenye episode hii , ambayo inakukutanisha na Molly Passion msanii wa muziki wa Bongo, ambaye anafanya mziki mzuri saana wa kisasa, Kupitia episode hii Molly passion ameweza kuzungumzia mziki na kazi yake ambayo amekuwa akiitilia Nguvu toka akiwa mdogo, Pia anayo kazi mpya ambayo inafanya vyema na ngoma hiyo inaitwa TRUMPET.


Kwenye hii episode ameshare mambo mengi kuhusu mziki wa bongo na experience yake kwenye industry Nzima, utapata kusikia Mengi saana na katika mengi hayo utapata kusikia.


1. Molly Passion ni nani?.


2.  Utapata kusikia Kuhusu game na industry nzima ya mziki Tanzania.


3. Utapata Kusikia Hustle za Ma upcoming artist wanavyopata changamoto katika kusogeza kazi zao na kuweza kupata nafasi ya maojiano kwenye vituo vikubwa vya redio.


4. Utapata kusikia Kuhusu Ngoma Ya molly passion ya Go down na mafanikio yake .


5. Utapata kusikia Maoni ya Molly Passion Kuhusu mziki wa Harmonise .


6. Utapata kusikia Maoni ya Molly passion kuhusu watangazaji kuhama Vituo vya redio moja kwenda redio Nyingine .


7. Utapata kusikia Kuhusu drama za wasanii wanao kuja wanapotumia Kiki ili kufikia mafanikio kwa haraka.


8. Utapata Kusikia BEEF kati ya Msanii na Radio presenter Zinavyokwamisha Game ya Bongo .


9.  Utasikia kuhusu Kuigana kwa Majina na Slogan katika kufanya mziki usonge Mbele.


10. Utapata Kusikia Kuhusu ngoma Ya Molly passion mpya ya Trumpet.


Kwa mengi saana tufatilie kwenye platforms zetu mitandaoni @nextmusicuniverse utaungana nasi moja kwa moja na kuwa mwanafamilia., Pia mfatilie Molly passion Kwenye mitandao ya kijamii kwa jina lake ilo kote.



---

Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message

Further episodes of NMU PODCAST

Further podcasts by martine

Website of martine