THE POWER OF MUSIC BEYOND ENTERTAINMENT SESSION FIVE (FINAL SESSION) - a podcast by martine

from 2020-10-31T05:00

:: ::

Karibu Kwnye final session ya The power of Music Beyond Entertainment,  Imekuwa wakati mzuri na session bora na wanafamilia ya nmu podcast, kwenye hii episode ya mwisho tumekusogezea mambo mengi ambayo mziki umekuwa na nafasi kubwa ya ushawishi na kuweza kuleta majibu postive kabisa .




kwenye hii session tumezungumzia mziki ambavyo umetumika kupigania HAKI na kuleta majibu chanya, hapa utasikia namna ambavyo baadhi ya wasanii wamekuwepo kuwa chombo cha kusemea kwa wanyonge na wananchi ambao hawana nafasi kubwa ya kupaza sauti, kwakutumia huu mziki na wasanii wake.




Pia utasikia Jinsi mwalimu Juliusi Kambarage Nyerere ambavyo pia ameutumia huu Mziki kupenyeza siasa na kuweza kuwashinda  wacoroni kwa kutumia majukwaa ya mziki, kwa kumtumia Bibi mmoja ambaye anaitwa BIBI TITI , Hapa ndo utajua ni kwa namna gani ambavyo mziki umekuwepo toka zamani na kuweza kuwezesha mambo mengi kuweza kufanikiwa .




Mbali na haya pia utapata kujua baadhi ya Quotes mbali mbali za watu mashuhuri kuhusu mziki na namna mziki umeweka harama kwnye jamii. 




Kwa haya na mengine mengi hembu tusikilize na tufatilie kwenye Podcast Stores zote na kuweza kuwa mwanafamilia wa NMU PODCAST.



---

Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message

Further episodes of NMU PODCAST

Further podcasts by martine

Website of martine