THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC - a podcast by martine

from 2020-07-31T05:00

:: ::

Karibu kwenye Episode nyingine tena ambapo kwenye hii episode tumezungumzia Nguvu ya adithi na simulizi ndani ya muziki, Tumekuwa tukiona wasanii wengi wakijitaidi kutunga nyimbo mbali mbali zenye jumbe Muhimu sana , lakini kwenye upande wa kupromote na kuwafikishia wasikilizaji, jambo limekuwa tofauti na mtazamo wa wengi, kwenye episode hii Karibu tuanze mazungumzo haya ambayo bila shaka utaweza kuenjoy na kupata jambo jipya,  ambalo wewe kama ni msanii na mwandishi unaweza kufaidika na hatimaye ukafikisha kazi yako katika hatua nyingine kubwa . 




Karibu upate kusikiliza na kuenjoy episode hii, NMU PODCAST our voice is yours, Tupate mitandaoni @nextmusicuniverse ndo jina pekee tunalopatikana kwenye mitandao ya kijamii.



---

Send in a voice message: https://anchor.fm/martine945/message

Further episodes of NMU PODCAST

Further podcasts by martine

Website of martine