Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice - a podcast by SBS

from 2023-10-06T10:48:59

:: ::

SBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice itafanywa Jumamosi 14 Oktoba 2023. Siku hiyo, wapiga kura wata ombwa kupiga kura ya ‘ndio’ au ‘la’ kwa swali moja pekee.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS