Kiongozi mteule wa Queensland Annastacia Palaszczuk awashukuru wapiga kura kumpa muhula wa tatu - a podcast by SBS

from 2020-11-02T07:20:33

:: ::

Kiongozi mpya mteule wa jimbo la Queensland Annastacia Palaszczuk, ametengeza historia kwakuwa mwanamke wakwanza kushinda awamu yatatu madarakani nchini Australia.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS