KISWA Orientation day - Siku ya Maelekezo ya shirika la KISWA - a podcast by SBS

from 2019-03-06T01:05:01

:: ::

SBS Swahili attended KISWA's Orientation day in Auburn, NSW where members of the leadership group told us about the sessions which were organised for members.

-

Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilihudhuria mkutano maalum katika kitongoji cha Auburn, ambako shirika la KISWA lili alika wataalam tofauti, kuzungumza na wanachama wao kuhusu mada tofauti ambayo zinazo wahusu wanachama wao. Viongozi wa shirika hilo wali eleza Idhaa wa Kiswahili ya SBS kuhusu taarifa iliyo tolewa kwa wanachama.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS