Migrants Discrimination - Ubaguzi kwa Wahamiaji - a podcast by SBS

from 2019-06-03T03:34:26

:: ::

An investigation has found over 15 migrant families living in Australia face deportation each year, because a family member has a disability which does not align with immigration requirements.

Disability advocacy groups are accusing the government of breaching human rights and are taking the matter to the United Nations.

Frank Mtao reports.

-

Uchunguzi umegundua familia zaidi ya 15 za wahamiaji wanaoishi Australia hukumbana na kurudishwa makwao kila mwaka, kwa sababu mmoja wa wana familia ana ulemavu ambao hauendani na mahitaji ya uhamiaji.

Makundi ya utetezi ya walemavu yanaishtaki serikali kwa kuvunja haki za binadamu na wanapeleka swala hilo Umoja wa Mataifa.

Frank Mtao anatutaarifu.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS