Mpaka kati yamajimbo ya New South Wales na Victoria kufungwa kuanzia usiku wa Jumanne - a podcast by SBS

from 2020-07-07T00:50:02

:: ::

Mpaka kati ya jimbo la Victoria na New South Wales, utafungwa baada ya ongezeko ya visa vipya 127, vya coronavirsu kutambuliwa katika masaa 24 yaliyo pita jimboni Victoria.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS