Musoni: Mradi wa GLAPD wakuwasaidia waathiriwa wa COVID-19 unaendelea - a podcast by SBS

from 2020-08-19T01:20:02

:: ::

Shirika la GLAPD International, limewafungulia mlango wanafunzi wakimataifa na wahamiaji, ambao hawafuzu kupokea msaada kutoka serikali ya shirikisho wakati huu wa janga la COVID-19.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS