Nikwanini kuvaa barakoa kumefanywa kuwa lazima katika baadhi ya nchi? - a podcast by SBS

from 2020-07-23T00:50:02

:: ::

Victoria itakuwa jimbo lakwanza nchini Australia kuwasilisha amri yalazima kuvaa barakoa, wakati jimbo hilo linajaribu kudhibiti maambukizi ya COVID-19 ndani ya jamii.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS