Politicians return from their winter break to demands they face drug tests - Wanasiasa warejea bungeni kutoka mapumziko ya majira ya baridi, nakupata ombi wafanyiwe vipimo vya mihadarati - a podcast by SBS

from 2019-09-10T10:31:16

:: ::

The Morrison government is slowly losing its bid to impose random drug tests on welfare recipients after crossbench senator Jacqui Lambie raised new concerns about the lack of rehabilitation services linked to the plan

-

Serikali ya Morrison inaendelea kupoteza ushawishi, kwa mpango wake waku lazimisha vipimo vya mihadarati kwa wapokeaji wa malipo ya ustawi, baada ya seneta huru Jacqui Lambie kuzua wasi wasi kuhusu uhaba wa huduma zinazo ungwa kwa mpango huo.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS