Taarifa ya habari 30 Agosti 2020 - a podcast by SBS

from 2020-08-30T15:55:15

:: ::

Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg asema serikali haita unga mkono pendekezo la mageuzi kutoka upinzani, kwa mfumo wa JobKeeper akisisitiza kuwa mapendekezo hayo yanaweza gharimu ajira.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS