Uhuru kwa viwango vya asilimia 80 vya chanjo kuwekwa wazi - a podcast by SBS

from 2021-09-26T20:26:44

:: ::

Waziri Mkuu Scott Morrison amesisitiza kuwa viongozi wa majimbo na wilaya, wanastahili fungua mipaka yao wakati 80% ya umma imepokea chanjo kamili, hatua ambayo itaruhusu familia kuwa pamoja wakati wa krismasi.

Further episodes of SBS Swahili - SBS Swahili

Further podcasts by SBS

Website of SBS