Podcasts by Wanawake wa Imani

Wanawake wa Imani

Vipindi vya wanawake wa Kikristo. Masungumso kuhusu mambo ya maisha. Vipindi vyote ni Kiswahili.

Further podcasts by Soma Biblia

Podcast on the topic Christentum

All episodes

Wanawake wa Imani
Kupendwa na Mungu - Wanawake wa Imani Kip #1 from 2018-07-02T11:25

Katika kipindi hiki, Mama Neema (Inge-Marie Roager) anaongea kuhusu kupendwa na Mungu, na jinsi Mungu ana haja na sisi zote.

Listen
Wanawake wa Imani
Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2 from 2018-07-01T08:21

Mama Neema anasungumsia juu ya maada mgumu sana, na anakuambia kwamba Mungu anakupenda kwa sababu alikuumba.

Listen
Wanawake wa Imani
Yesu anapiga hodi kwako - Wanawake wa Imani Kip. #3 from 2018-06-30T07:17

Mama Neema anaongea kuhusu jinsi Yesu anatutafuta na maana yake ni nini, pamoja na kutuzimuliza hadithi.

Listen
Wanawake wa Imani
Mwanamke Msamaria anawekwa huru na Yesu from 2018-06-29T12:34

Mama Neema hupitia historia ya Mwanamke Msamaria kutoka kwenye Biblia, na anazungumzia maana yake kwetu sisi wanawake wa leo.

Listen
Wanawake wa Imani
Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5 from 2018-06-28T08:04

Dorena Jakobo, “Mama Eliyah”, alilelewa katika familia ya kipangani, lakini alivutwa na mambo ya kanisani. Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo aliyekutana na vikwazo vingi maishani mwake.

Listen
Wanawake wa Imani
Ushuhuda wa Dorena Jakobo 2/2 - Wanawake wa Imani from 2018-06-27T08:28:21

Dorena Jakobo, "Mama Eliyah", ni mtoto mdogo katika familia yake na amekutana na vikwazo vingi maishani, hata hivyo, baba yake mzazi aliokoka kupitia yeye. Sikiliza na utabarikiwa na ushuhuda wa...

Listen