Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5 - a podcast by Soma Biblia

from 2018-06-28T08:04

:: ::

Dorena Jakobo, “Mama Eliyah”, alilelewa katika familia ya kipangani, lakini alivutwa na mambo ya kanisani. Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo aliyekutana na vikwazo vingi maishani mwake.

Further episodes of Wanawake wa Imani

Further podcasts by Soma Biblia

Website of Soma Biblia