Jeshi la Uganda litawamaliza waasi wa ADF nchini DRC ? - a podcast by RFI

from 2021-12-01T07:00:04

:: ::


Jeshi la Uganda, limeanza mashambulizi dhidi ya waasi wa ADF Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya kupata idhini kutoka kwa serikali ya Kinshasa. Je, hatua hii itasaidia kulimaliza kundi hili ambalo limesababisha maelfu ya raia ?

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI