Podcasts by Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa

Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Podcast on the topic Nachrichten

All episodes

Wimbi la Siasa
Siasa za upinzani nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu from 2022-02-02T07:47:57

Tunaangazia harakati za chama kikuu cha upinzani nchini Kenya Orange Democratic Movement  (ODM), kutafuta uongozi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, baada ya  uchaguzi Mkuu mwezi Agosti.

Listen
Wimbi la Siasa
Joto la kisiasa laendelea kupanda nchini Kenya kuelekea Uchaguzi wa Agosti from 2022-01-19T08:07:17

Tunaangazia joto la kisiasa, linaloendelea kupanda nchini Kenya, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka huu. Wakenya watamchagua rais wao wa tano, baada ya Uhuru Kenyatta ambaye anaondoka m...

Listen
Wimbi la Siasa
Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ajiuzulu from 2022-01-05T07:37:43

Tunaangazia hatua ya kujizulu kwa Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok wiki hii. Kujiuzulu kwa Hamdok kumekuja muda mfupi baada ya kurejeshwa kwenye nafasi hiyo, baada ya kuafikiana na uongozi ...

Listen
Wimbi la Siasa
Mzozo wa kisiasa nchini Somalia kati ya rais na Waziri Mkuu from 2021-12-29T10:00:02

Wiki hii rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohamed, anayefahamika kwa jina lingine la Farmajo, alitangaza kumsimamisha kazi Waziri Mkuu Hussein Roble, kwa madai ya ufisadi kuhusu kashfa ya uny...

Listen
Wimbi la Siasa
Wakaazi wa GOMA mkoani Kivu kaskazini wapinga utovu wa usalama mashariki ya DRC from 2021-12-22T07:42:53

Makala ya wimbi la siasa inaangazia maandamano ya mamia ya waakazi wa mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wakipinga utovu wa usalama na ripoti kuwa, serikali nchini hu...

Listen
Wimbi la Siasa
Jeshi la Uganda litawamaliza waasi wa ADF nchini DRC ? from 2021-12-01T07:00:04

Jeshi la Uganda, limeanza mashambulizi dhidi ya waasi wa ADF Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya kupata idhini kutoka kwa serikali ya Kinshasa. Je, hatua hii itasaidia kul...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Jeshi la Uganda litawamaliza waasi wa ADF nchini DRC ? from 2021-12-01T07:00:04

Jeshi la Uganda, limeanza mashambulizi dhidi ya waasi wa ADF Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya kupata idhini kutoka kwa serikali ya Kinshasa. Je, hatua hii itasaidia kul...

Listen
Wimbi la Siasa
Hali ya kisiasa nchini Sudan baada ya Abdalla Hamdock kurudishiwa madaraka from 2021-11-24T17:33:11

Wiki hii kwenye tunaangazia hatua ya Jeshi nchini Sudan, kumrejeshea madaraka Waziri Mkuu Abdalla Hamdock baada ya mapinduzi ya kijeshi mwezi mmoja uliopita. Pande zote zilitia saini mkataba w...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Hali ya kisiasa nchini Sudan baada ya Abdalla Hamdock kurudishiwa madaraka from 2021-11-24T17:33:11

Wiki hii kwenye tunaangazia hatua ya Jeshi nchini Sudan, kumrejeshea madaraka Waziri Mkuu Abdalla Hamdock baada ya mapinduzi ya kijeshi mwezi mmoja uliopita. Pande zote zilitia saini mkataba w...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Hali ya kisiasa nchini Sudan baada ya jeshi kuipindua serikali ya kiraia from 2021-10-27T08:51:18

Nchini Sudan, jeshi limefanya mapinduzi na kuchukua serikali kutoka kwa kiongozi wa kiraia, Waziri Mkuu Abdalla Hamdok. Nini hatima ya Sudan ? Tunachambua.

Listen
Wimbi la Siasa
Hali ya kisiasa nchini Sudan baada ya jeshi kuipindua serikali ya kiraia from 2021-10-27T08:51:18

Nchini Sudan, jeshi limefanya mapinduzi na kuchukua serikali kutoka kwa kiongozi wa kiraia, Waziri Mkuu Abdalla Hamdok. Nini hatima ya Sudan ? Tunachambua.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Siasa za Tume ya Uchaguzi nchini DRC kuelekea Uchaguzi 2023 from 2021-10-20T18:47:50

Wanasiasa wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka muungano wa Lamuka na Ensamble wamekataa uteuzi wa Dennis Kadima kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi CENI kuelekea Uch...

Listen
Wimbi la Siasa
Siasa za Tume ya Uchaguzi nchini DRC kuelekea Uchaguzi 2023 from 2021-10-20T18:47:50

Wanasiasa wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka muungano wa Lamuka na Ensamble wamekataa uteuzi wa Dennis Kadima kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi CENI kuelekea Uch...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Sera za wanasiasa wanaotafuta urais nchini Kenya from 2021-10-13T08:49:52

Nchini Kenya, wanasiasa wanaendelea kunadi sera zao, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Miongoni mwa wanasiasa hao ni Raila Odinga na William Ruto. Tunachambua.

Listen
Wimbi la Siasa
Sera za wanasiasa wanaotafuta urais nchini Kenya from 2021-10-13T08:49:52

Nchini Kenya, wanasiasa wanaendelea kunadi sera zao, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2022. Miongoni mwa wanasiasa hao ni Raila Odinga na William Ruto. Tunachambua.

Listen
Wimbi la Siasa
Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi 2025 from 2021-09-02T18:50:32

Wiki hii tunaangazia hatua ya vyama vya siasa nchini Tanzania kuunda Baraza la pamoja kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2025.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi 2025 from 2021-09-02T18:50:32

Wiki hii tunaangazia hatua ya vyama vya siasa nchini Tanzania kuunda Baraza la pamoja kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2025.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Mvutano wa kumpata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC from 2021-08-19T18:24:31

Viongozi wa dini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia wameshindwa kuelewana kuhusu ni nani awe Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi nchini humo CENI kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2023. Tunajadili

Listen
Wimbi la Siasa
Mvutano wa kumpata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini DRC from 2021-08-19T18:24:31

Viongozi wa dini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia wameshindwa kuelewana kuhusu ni nani awe Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi nchini humo CENI kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2023. Tunajadili

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Nani atapeperusha bendera ya upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Kenya ? from 2021-08-13T12:15:23

Wimbi la siasa wiki hii, linatupitia jicho siasa za upinzani, kumtafuta mgombea mmoja wa urais kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka 2022.

Listen
Wimbi la Siasa
Nani atapeperusha bendera ya upinzani kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Kenya ? from 2021-08-13T12:15:23

Wimbi la siasa wiki hii, linatupitia jicho siasa za upinzani, kumtafuta mgombea mmoja wa urais kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka 2022.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania from 2021-07-24T11:31:04

Wiki hii, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe alikamatwa na polisi akiwa mjini Mwanza, akijiandaa kuongoza kongamano la kudai katiba mpya nchini humo. Polisi wanasema wanamshiki...

Listen
Wimbi la Siasa
Kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania from 2021-07-24T11:31:04

Wiki hii, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe alikamatwa na polisi akiwa mjini Mwanza, akijiandaa kuongoza kongamano la kudai katiba mpya nchini humo. Polisi wanasema wanamshiki...

Listen
Wimbi la Siasa
Mvutano wa wanasiasa nchini Tanzania kudai Katiba mpya from 2021-07-09T11:13:20

Nchini Tanzania, wanasiasa wanaendelea kuzua mjadala kuhusu kuwepo kwa mchakato wa kupata katiba mpya, wakati huu rais wa nchi hiyo rais Samia Suluhu Hassan akisema hicho sio kipaumbele chake ...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Mvutano wa wanasiasa nchini Tanzania kudai Katiba mpya from 2021-07-09T11:13:20

Nchini Tanzania, wanasiasa wanaendelea kuzua mjadala kuhusu kuwepo kwa mchakato wa kupata katiba mpya, wakati huu rais wa nchi hiyo rais Samia Suluhu Hassan akisema hicho sio kipaumbele chake ...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Shinikizo za Katiba mpya nchini Tanzania from 2021-06-18T11:15:31

Wanasiasa wa upinzani na wanaharakati nchini Tanzania wanaendelea kushinikiza upatikanaji wa Katiba mpya nchini humo. Tunachambua hili kwa kina.

Listen
Wimbi la Siasa
Shinikizo za Katiba mpya nchini Tanzania from 2021-06-18T11:15:31

Wanasiasa wa upinzani na wanaharakati nchini Tanzania wanaendelea kushinikiza upatikanaji wa Katiba mpya nchini humo. Tunachambua hili kwa kina.

Listen
Wimbi la Siasa
Nini maana ya wanawake kuteuliwa kwa ngazi za juu serikalini Uganda? from 2021-06-10T18:23:10

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amewateuwa wanawake katika nyadhifa za juu serikalini, Nabbanja Nabbanja, akiteuliwa kuwa waziri mkuu,mwanajeshi mustaafu Jessica Alupo, akiteuliwa kuhudumu kam...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Nini maana ya wanawake kuteuliwa kwa ngazi za juu serikalini Uganda? from 2021-06-10T18:23:10

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amewateuwa wanawake katika nyadhifa za juu serikalini, Nabbanja Nabbanja, akiteuliwa kuwa waziri mkuu,mwanajeshi mustaafu Jessica Alupo, akiteuliwa kuhudumu kam...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Tanzani: Mvutano wa wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA kuendelea kuwa bungeni from 2021-05-08T13:06:56

Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kinaendelea kusisitiza kuwa hakikuidhinisha wabunge 19 wa viti maalum kutoka chama chake kwenda bungeni na kinataka waondolewe bungeni.

Listen
Wimbi la Siasa
Tanzani: Mvutano wa wabunge 19 wa viti maalum kutoka CHADEMA kuendelea kuwa bungeni from 2021-05-08T13:06:56

Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kinaendelea kusisitiza kuwa hakikuidhinisha wabunge 19 wa viti maalum kutoka chama chake kwenda bungeni na kinataka waondolewe bungeni.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na viongozi wa upinzani from 2021-05-01T11:19:06

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kukutana na viongozi wa upinzani na kujadiliana nao kuhusu mustakabali wa kisiasa nchini humo baada ya baadhi yao kukimbia nchi na wengine kulalam...

Listen
Wimbi la Siasa
Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na viongozi wa upinzani from 2021-05-01T11:19:06

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kukutana na viongozi wa upinzani na kujadiliana nao kuhusu mustakabali wa kisiasa nchini humo baada ya baadhi yao kukimbia nchi na wengine kulalam...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Kenya kutuma wanajeshi wake nchini DRC from 2021-04-22T18:34:27

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amesema Kenya imekubali kutuma wanajeshi wake Mashariki mwa nchi hiyo kusaidia katika vita dhidi ya ugaidi, kauli aliyotoa baada ya zi...

Listen
Wimbi la Siasa
Kenya kutuma wanajeshi wake nchini DRC from 2021-04-22T18:34:27

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amesema Kenya imekubali kutuma wanajeshi wake Mashariki mwa nchi hiyo kusaidia katika vita dhidi ya ugaidi, kauli aliyotoa baada ya zi...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Utovu wa usalama Mashariki mwa DRC from 2021-04-16T08:09:17

Utovu wa usalama linasalia suala tata Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kumekuwa na maandamano ya kutaka jeshi la Umoja wa Mataifa MONUSCO kuondoka nchini humo kwa kushindwa kuwa...

Listen
Wimbi la Siasa
Utovu wa usalama Mashariki mwa DRC from 2021-04-16T08:09:17

Utovu wa usalama linasalia suala tata Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kumekuwa na maandamano ya kutaka jeshi la Umoja wa Mataifa MONUSCO kuondoka nchini humo kwa kushindwa kuwa...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania from 2021-04-09T08:47:30

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameagiza kufunguliwa kwa Televisheni za mitandaoni zilizofungiwa. Je, analeta mwamko mpya wa uhuru wa vyombo vya Habari nchini humo ? Tunajadili kwenye Ma...

Listen
Wimbi la Siasa
Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania from 2021-04-09T08:47:30

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameagiza kufunguliwa kwa Televisheni za mitandaoni zilizofungiwa. Je, analeta mwamko mpya wa uhuru wa vyombo vya Habari nchini humo ? Tunajadili kwenye Ma...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Rais mpya wa Tanzania aahidi kupambana na ufisadi from 2021-04-01T17:53:16

Rais mpya wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaahidi raia wake kuwa, hatokuwa na huruma na yeyote atakayehusika na wizi wa fedha za umma. Je, atafanikiwa katika changamoto hii ? Tunajadili.

Listen
Wimbi la Siasa
Rais mpya wa Tanzania aahidi kupambana na ufisadi from 2021-04-01T17:53:16

Rais mpya wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaahidi raia wake kuwa, hatokuwa na huruma na yeyote atakayehusika na wizi wa fedha za umma. Je, atafanikiwa katika changamoto hii ? Tunajadili.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Hali ya kisiasa Tanzania baada ya kifo cha John Pombe Mafunguli from 2021-03-25T18:19:22

Upepo wa siasa nchini Tanzania, umechukuwa mkondo mpya baada ya kifo cha rais John Pombe Magufuli, kwenye makala haya Victor Robert Wile anaangazia hali kisiasa nchini humo baada ya kifo cha M...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Hali ya kisiasa Tanzania baada ya kifo cha John Pombe Magufuli from 2021-03-25T17:19:22

Upepo wa siasa nchini Tanzania, umechukuwa mkondo mpya baada ya kifo cha rais John Pombe Magufuli, kwenye makala haya Victor Robert Wile anaangazia hali kisiasa nchini humo baada ya kifo cha M...

Listen
Wimbi la Siasa
Hali ya kisiasa Tanzania baada ya kifo cha John Pombe Magufuli from 2021-03-25T17:19:22

Upepo wa siasa nchini Tanzania, umechukuwa mkondo mpya baada ya kifo cha rais John Pombe Magufuli, kwenye makala haya Victor Robert Wile anaangazia hali kisiasa nchini humo baada ya kifo cha M...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Kifo cha rais wa Tanzania John Magufuli from 2021-03-18T16:51:05

Rais wa Tanzania John Magufuli amefariki dunia, baada ya kuugua ugonjwa wa moyo. Leo kwenye Makala haya, tunaangazia maisha ya Marehemu Magufuli.

Listen
Wimbi la Siasa
Kifo cha rais wa Tanzania John Magufuli from 2021-03-18T16:51:05

Rais wa Tanzania John Magufuli amefariki dunia, baada ya kuugua ugonjwa wa moyo. Leo kwenye Makala haya, tunaangazia maisha ya Marehemu Magufuli.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Kundi la ADF latajwa kuwa la kundi la kigaidi from 2021-03-11T16:45:28

Marekani inasema kundi la waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  la ADF, ni magaidi wizara ya Mambo ya nje ya Marekani ikisema viongozi wa makundi hayo, wanashirikiana kwa karib...

Listen
Wimbi la Siasa
Kundi la ADF latajwa kuwa la kundi la kigaidi from 2021-03-11T16:45:28

Marekani inasema kundi la waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  la ADF, ni magaidi wizara ya Mambo ya nje ya Marekani ikisema viongozi wa makundi hayo, wanashirikiana kwa karib...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Mvutano wa kisiasa nchini Uganda kati ya Bobi wine na rais Museveni from 2021-02-26T13:17:27

Makala ya juma hili la wimbi la siasa mwandishi wetu Victor Robert Wile, ameangazia siasa za Uganda, ambapo kiongozi wa upinzani, Robert Kygulanyi maarufu kama Wine, aliagiza mawakili wake kuo...

Listen
Wimbi la Siasa
Mvutano wa kisiasa nchini Uganda kati ya Bobi wine na rais Museveni from 2021-02-26T13:17:27

Makala ya juma hili la wimbi la siasa mwandishi wetu Victor Robert Wile, ameangazia siasa za Uganda, ambapo kiongozi wa upinzani, Robert Kygulanyi maarufu kama Wine, aliagiza mawakili wake kuo...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Matukio makubwa tuliyoyapa uzito mwaka 2019 from 2019-12-27T10:47:23

Haya ndio makala ya mwisho ya Wimbi la Siasa mwaka 2019, tunaangazia matukio makubwa tuliyoyapa uzito kisiasa barani Afrika na kwingineko duniani.

Listen
Wimbi la Siasa
Matukio makubwa tuliyoyapa uzito mwaka 2019 from 2019-12-27T10:47:23

Haya ndio makala ya mwisho ya Wimbi la Siasa mwaka 2019, tunaangazia matukio makubwa tuliyoyapa uzito kisiasa barani Afrika na kwingineko duniani.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Nini suluhu ya kisiasa kuhusu mzozo wa kuwavamia wageni nchini Afrika Kusini ? from 2019-09-06T12:07:20

Je, kuna suluhu ya kisiasa kuhusu mzozo wa wageni kuvamiwa na maduka yao kuvunjwa  nchini Afrika Kusini ?Tunajadili hili katika Makala ya Wimbi la Siasa.

Listen
Wimbi la Siasa
Nini suluhu ya kisiasa kuhusu mzozo wa kuwavamia wageni nchini Afrika Kusini ? from 2019-09-06T12:07:20

Je, kuna suluhu ya kisiasa kuhusu mzozo wa wageni kuvamiwa na maduka yao kuvunjwa  nchini Afrika Kusini ?Tunajadili hili katika Makala ya Wimbi la Siasa.

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - DRC yampata rais mpya, historia yaandikwa from 2019-01-26T16:59:59

DRC imempata rais mpya, Felix Thisekedi. Nchi hiyo ya Afrika ya Kati imeshuhudia ubadilishanaji wa madaraka kwa njia ya amani kwa mara ya kwanza tangu ilipopata uhuru mwaka 1960. Tunajadili hi...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Tume ya Uchaguzi yahairisha Uchaguzi katika baadhi ya maeneo, Mashariki mwa DRC from 2018-12-28T12:22:47

Hatimaye, Uchaguzi Mkuu wa DRC utafanyika siku ya Jumapili, lakini Tume ya Uchaguzi imeahirisha zoezi hilo katika maeneo ya Butembo, Beni na Yumbi kwa sababu za kiusalama na maambukizi ya ugon...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Uchaguzi Mkuu wa DRC wahairishwa from 2018-12-21T08:57:16

Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliokuwa umepangwa kufanyika tarehe 23 mwezi Desemba, sasa umeahirishwa hadi tarehe 30 baada ya kuteketea kwa ghala la kuhifadhi vifaa vya kup...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Kampeni za DRC zakumbwa na vurugu from 2018-12-15T08:31:17

Siku 10 kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, mauaji yameripotiwa katika kampeni za siasa hasa katika mikutano ya Martin Fayulu, mgombea vya vyama upinzani lakini pia kuteketea moto kwa jengo la ...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Rais Salva Kiir agoma kuunda mahakama maalum Sudan Kusini from 2018-10-10T10:09:05

Serikali ya Sudan Kusini imetupilia mbali wito uliotolewa na Umoja wa Mataifa pamoja na Umoja wa Afrika wa kutaka serikali hiyo iunde mahakama maalum ya kushughulikia watuhumiwa wa makosa ya u...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Jean Pierre Bemba hatihati kugombea Urais DRC from 2018-10-03T13:59:53

Majina ya wagombea Urais ya awali yametangazwa huku Jean Pierre Bemba akienguliwa na yeye kuapa kukata rufaa kugai haki yake wakati Tume huru ya Uchaguzi CENI ikidai hawezi kugombea kutokana n...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Mgogoro wa Sudan Kusini bado kitendawili hata bada ya kusainiwa kwa mkataba from 2018-10-03T12:59:04

Hali ya Sudan Kusini bado ni tete hata baada ya kusainiwa kwa makataba wa amani wa mwisho wakati huu kukiendelea kushuhudiwa mapigano katika baadhi ya maeneo nchini humo. Je suala la kupatikan...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Tume Huru ya Uchaguzi DRC, CENI yatangaza majina ya wagombea Urais from 2018-10-03T12:35:25

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi CENI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo DRC, Corneille Nangaa ametangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Disemba 23 mwaka ...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Rais Salva Kiir atangaza kamati ya mpito from 2018-09-28T13:22:20

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ameteua tume ambayo itaratibu mchakato wa kuundwa kwa serikali ya mpito ambayo baadaye itakaa madarakani kwa miaka mitatu kabla ya kufanyika uchaguzi wa kidemok...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Rais Joseph Kabila kubadilisha Katiba kuwania tena urais ? from 2018-06-01T09:27:43

Kuna dalili kuwa rais Joseph Kabila wa DRC anapanga kuibadilisha Katiba ili kuwania urais kwa muhula wa tatu. Mabango ya picha ya rais Kabila,  yaliyo na maandishi "Huyu ndio mgombea wetu" yam...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Tume ya Uchaguzi nchini DRC CENI yapata mitambo ya kuwatambua wapiga kura from 2018-02-24T09:57:13

Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo CENI, imepata mitambo ya kieletroniki kuwatambua wapiga kura wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Desemba.

Je, mitambo hii itsaidia U...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Maandamano ya Nchi ya Iran na amna Mataifa ya Magharibi Yalivyo na Mkono from 2018-01-12T10:17:10

Makala ya Wimbi la Siasa Juma Hili Inaangazia Hali ya Kisiasa Nchini Iran Ambayo Kwa Majuma Kadhaa Imeshuhudia Maandamano ya Wananchi Wakipinga Hali Ngumu ya Maisha. Hata Hivyo Juma Hili Pia W...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Kenya yaendelea kushuhudia mzozo wa kisiasa from 2018-01-12T09:10:10

Kenya imeendelea kushuhudia mzozo wa kisiasa, baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka uliopita. Kiongozi wa upinzani NASA Raila Odinga, amekataa kumtambua rais Uhuru Kenyatta na amesema ataapishwa kama r...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Matukio makubwa ya kisiasa mwaka 2017 from 2017-12-29T08:12:27

Mwaka 2017, ulikuwa na mwaka wa kisiasa hasa barani Afrika. Uchaguzi tata nchini Kenya, siasa za Uchaguzi nchini DRC, Gambia kumpata rais mpya, Robert Mugabe kujiuzulu baada ya kuongoza Zimbab...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Wabunge nchini wabadilisha Katiba from 2017-12-22T09:17:21

Wabunge nchini Uganda, wamebadilisha Katiba ya nchi hiyo kwa kuondoa kikomo cha mtu anayetaka kuwania urais nchini humo kutoka miaka 75. Hii inampa nafasi rais Yoweri Museveni kuwania tena ura...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Nkurunziza azindua kampeni ya kuibadilisha Katiba from 2017-12-15T09:27:31

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, amezindua kampeni ya kuibadilisha Katiba ya nchi hiyo, lenye lengo la kuongeza muda wa rais kukaaa madarakani kutoka miaka mitano hadi miaka saba. Iwapo maba...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Ziara ya Rais Salva Kiir nchini Sudani na changamoto za mgogoro wa kisiasa from 2017-11-10T11:22:15

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir hivi karibuni alifanya ziara nchini Sudan Kharthoum na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Omar Al Bashir wakilenga kuimarisha uhusiano na kuondoa hali ya w...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Majaji wa Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamua hatima ya ushindi wa Kenyatta from 2017-11-10T10:34:41

Mahakama ya Juu nchini Kenya inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi za kupinga uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba 26, 2017 ukidaiwa kuwa haukuwa huru, haki na wa kuaminika. Swali ni je majaji ...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Mahakama Kuu nchini Kenya yataka wagombea urais kushiriki uchaguzi from 2017-10-13T14:27:31

Hivi karibuni Mahakama Kuu nchini Kenya iliamua wagombea wote wanane wa urais washiriki katika uchaguzi wa marudio unaotarajiwa Oktoba 26 mwaka huu hatua ambayo imeibua maswali lukuki huku Muu...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Tume huru ya Uchaguzi Kenya na mchakato wa kutangaza matokeo from 2017-08-22T13:23:45

Uchaguzi wa Kenya unakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo mchakato wa kutangaza matokeo huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya, IEBC ikijinadi kuwa ina mamlaka ya kutangaza matokeo ya ...

Listen
Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Kampeni za lala salama zapamba moto nchini Kenya from 2017-08-22T12:05:31

Kampeni za lala salama nchini Kenya zimepamba moto kuelekea uchaguzi huo Agosti 8 mwaka huu huku wagombea Uhuru Kenyatta wa Chama cha Jubilei na mgombea wa NASA, Raila Odinga wakichuana vikali...

Listen