Kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania - a podcast by RFI

from 2021-07-24T11:31:04

:: ::


Wiki hii, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe alikamatwa na polisi akiwa mjini Mwanza, akijiandaa kuongoza kongamano la kudai katiba mpya nchini humo. Polisi wanasema wanamshikilia kwa tuhma za kigaidi.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI