Mzozo wa kisiasa nchini Somalia kati ya rais na Waziri Mkuu - a podcast by RFI

from 2021-12-29T10:00:02

:: ::


Wiki hii rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohamed, anayefahamika kwa jina lingine la Farmajo, alitangaza kumsimamisha kazi Waziri Mkuu Hussein Roble, kwa madai ya ufisadi kuhusu kashfa ya unyakuzi wa ardhi.

Hata hivyo, Roble ameelezea hatua ya rais Farmajo kama jaribio la mapinduzi na kuapa kuendelea na majukumu yake.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI