Siasa za Tume ya Uchaguzi nchini DRC kuelekea Uchaguzi 2023 - a podcast by RFI

from 2021-10-20T18:47:50

:: ::


Wanasiasa wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka muungano wa Lamuka na Ensamble wamekataa uteuzi wa Dennis Kadima kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi CENI kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka 2023. Itakuwaje ? Tunachambua.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI