Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania - a podcast by RFI

from 2021-04-09T08:47:30

:: ::


Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameagiza kufunguliwa kwa Televisheni za mitandaoni zilizofungiwa. Je, analeta mwamko mpya wa uhuru wa vyombo vya Habari nchini humo ? Tunajadili kwenye Makala ya Wimbi la Siasa.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI