Wimbi la Siasa - Hali ya kisiasa nchini Sudan baada ya Abdalla Hamdock kurudishiwa madaraka - a podcast by RFI

from 2021-11-24T17:33:11

:: ::


Wiki hii kwenye tunaangazia hatua ya Jeshi nchini Sudan, kumrejeshea madaraka Waziri Mkuu Abdalla Hamdock baada ya mapinduzi ya kijeshi mwezi mmoja uliopita. Pande zote zilitia saini mkataba wa kisiasa. Tunajadiliana.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI