Wimbi la Siasa - Hali ya kisiasa nchini Sudan baada ya jeshi kuipindua serikali ya kiraia - a podcast by RFI

from 2021-10-27T08:51:18

:: ::


Nchini Sudan, jeshi limefanya mapinduzi na kuchukua serikali kutoka kwa kiongozi wa kiraia, Waziri Mkuu Abdalla Hamdok. Nini hatima ya Sudan ? Tunachambua.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI