Wimbi la Siasa - Kampeni za DRC zakumbwa na vurugu - a podcast by RFI

from 2018-12-15T08:31:17

:: ::


Siku 10 kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, mauaji yameripotiwa katika kampeni za siasa hasa katika mikutano ya Martin Fayulu, mgombea vya vyama upinzani lakini pia kuteketea moto kwa jengo la kuhifadhi vifaa vya kupigia kura jijini Kinshasa. Tunajadili hili kwa kina.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI