Wimbi la Siasa - Kampeni za lala salama zapamba moto nchini Kenya - a podcast by RFI

from 2017-08-22T12:05:31

:: ::


Kampeni za lala salama nchini Kenya zimepamba moto kuelekea uchaguzi huo Agosti 8 mwaka huu huku wagombea Uhuru Kenyatta wa Chama cha Jubilei na mgombea wa NASA, Raila Odinga wakichuana vikali katika kinyang'anyiro hicho. Je nani atashinda katika uchaguzi huo na kwa nini? Uchambuzi wa kina katika Makala ya Wimbi la Siasa ukiwa naye Victor Robert Wile utakata kiu yako ya kujua mbivu na mbichi kuhusu uchaguzi wa Kenya.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI